Aha, chupa ilionekana chai au sio
Chupa ilionekana chai
(Its S2kizzy beiby)
Billnas, Billnas
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Unyonge tai
Alafu mfukoni mambo mbaya
Hawatudai yeah yeah yeah
Hata wavujishe picha mbaya
Wakuite babu
Nami waniite bibi watujukuu
Ooh yeah, washike adabu
Washindwe na walegee eeh
Unanisitiri Yaani hutaki niumbuke(Aaaah)
Wawili tu chumbani
Ardhi ipasuke(Aaaah)
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina bugana
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Tupo low key na tuna kiss kwenye dinga
Vile tuna ball sema 'ooh tunavimba'
Kuku approach ilikuwa hard ka nawinda
Hadi nikawa naimba zile ahadi ukawa undavimba
Leo bugana limerudi kwao
Tuko na shida zetu wala sio za kwao
Husband material ikikubao
Imeshafika Posa bado tu vikao
Na hata iweje, hata iweje
Mimi ni wako tu
Na hata iweje, hata iweje
Nitabaki kwako tu
Kama ni Gucci, Dolce & Gabana(Aaaah)
Hata mi, naweza kupambana(Aaaah)
Kama ni pesa wanasaka ile sana(Aaaah)
Sana mama, sana sana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu,
Naiwe bugana
Naiwe yangu,
Naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, (Laizer on the Mix)
Naiwe bugana
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa