Usikate tamaa
Usivunjike moyo
Mungu yupo nawe Eah! Hajakuacha
Huo wakati unaopitia
Haina maana kujutia
Maana Mungu anasikia
Kwa kila unachomwambia
Kila kitu kitakuwa sawa
Mambo yote yatanyooka tu
Wakati ukifika yatakwisha tu
Wala usijali
Kila kitu kitakuwa sawa
Mambo yote yatanyooka tu
Wakati ukifika yatakwisha tu
Wala usijali
Kwa nini unakata tamaa
Kwa nini unavunjika moyo
Wakati Mungu yupo nawe
Hajakuacha wakati wote
Usiangalie ukubwa wa tatizo lako
Usiangalie upana wa tatizo lako
Usiangalie ufumbuzi wake
Bali Mungu ye ndo jibu uuh
Mfumbuzi wa matatizo yako
Usikubali ukakatishwa tamaa
Vumilia utayavuka hayo Ehyea! Usiogope mtihani
Yaliingia yatatoka pia
Majaribu ndo mtaji wako
Usipambane kwa akili zako Ehyea! Yupo upande wako
Kila kitu kitakuwa sawa
Mambo yote yatanyooka tu
Wakati ukifika yatakwisha tu
Wala usijali
Kila kitu kitakuwa sawa
Mambo yote yatanyooka tu
Wakati ukifika yatakwisha tu
Wala usijali
Ooh ohh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be so fine
So fine so fine oooh ooh
Eh! Ipo siku utafika
Siku moja utavuka
Ipo siku utashinda vita yako
Utatunza ushuhuda
Iwe kama alama ya ushindi wako Oh! Mungu aliokupa
Pigania imani yako
Kuna mahali unakwenda
Usiogope japo wengi watakuja kukukatisha tamaa
Aaah! Mungu hawezi kukuacha
Kila saa yupo nawe
Kila muda yupo naweeeee
Kila saa yupo na wewe
Kila muda yupo na wewe, na weeee
Na weeee ooh! One day yes