Yaani ananipenda huyu mungu
Aah
Jamani upendo wanishangaza
Amani na uhai juu yangu
Kaniongeza baraka
Ni wa bei ghali sio nafuu
Nibebe yesu nibebe begani
Nikiwa nawe mimi nina imani
Sina mashaka mimi
Kwangu burudani yaani
Umenibariki baba nakushukuru
Na adui zangu
Wameshindwa kunena
Huku kunipenda ina maana
Umenifanya mwanao
Ulijitoa nisihesabiwe dhambi
Haloo oh
Niwaeleze nini
Leo mtoto wa mjini
Upendo wa mungu
Umenifika hapa
Niwaeleze nini
Leo mtoto wa mjini
Upendo wa mungu
Umenifika hapa
Auo mh mh eiyee aah aah
Milango yangu ilipofunga fungua
Mashaka yangu yalipozidi ukaondoa
Milango ya baraka ilifungwa
Tumaini langu lilipotea Ukarejesha
Bado nakuamini
Haijalishi kipi ninapitia
Umenipa furaha na amani
Sina wasiwasi maishani
Bwanaaa
Bado nakuamini
Nijapopita kwenye magumu
Sina wasiwasi na tabasamu
Oh dady
Umenipa furaha ya kudumu
Umenibariki baba nakushukuru
Na adui zangu
Wameshindwa kuunena
Kunipenda ina maana
Umenifanya mwanao
Ulijitoa nisihesabiwe dhambi
Haloo oh
Niwaeleze nini
Leo mtoto wa mjini
Upendo wa mungu
Umenifika hapa
Niwaeleze nini
Leo mtoto wa mjini
Upendo wa mungu
Umenifika hapa
Auo mh mh eiyee aah aah