[ Featuring Wyse tz ]
Mmmmmh mmmmh mmmmmh
Nataka nikupe sugercane ,ama nikupe banana
Nawe unipe bongo pasheni,,ndio tunda nalo penda sana
Na penzi letu si ni fasheni ,ona vile tunavyoendana
Unanipenda hadi sisemi, ongeza zaidi ya Jana
And I never ,knew love is this Much serious
And I'm feeling ,you penzi halijifichi naliweka wazi
My baby my boo, najiamini kwako sina wasiwasi
Ghafla bin vuu ,hili penzi lako ni la mwendo kasi
You're my butterfly
You're my butterfly
You're my butterfly
You're my butterfly
Najua hapendi ugali anapenda muhogo hogo
Sambusa nyama hivi kachumbari alafu ana mikogo kogo
Nishampea moja nambari utamu wake embe dodo
Alafu hapendangi maswali hebu punguzeni shobo
And I never knew love is this much serious
And I'm feeling you, penzi halijifichi naliweka wazi
My baby my boo, najiamini kwako sina wasiwasi
Ghafla bin vuu , hili penzi lako ni la mwendo kasi
You're my butterfly
You're my butterfly
You're my butterfly
You're my butterfly