We ukiwana nami
We ukiwa na nami
Ushawahi pata kitu
Ukasema sikiachi
Kweli Mungu
Nimeamini huniwachi
Maishani mwangu
Nimepata mwandani
Simfichi
Jemedari wangu
Vita vikichacha
Huniwachi
Uko upande wangu
Hata vikija navishinda
Uko upande wangu
|Hata kwa dhiki natashinda
Na ijulikane umenibariki
Dunia ione
Nisijigambe kwa uwezo wangu
Wacha wakuone
Mashahidi wamekodoa macho
Wanangoja nifeli
Mashahiri yasivuke boda
Waniseme nimefeli
Ukiwa na'mi
We ukiwa na mimi
Aaaah
Sipotoki
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Na'mi
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Aaaah
Sipotoki
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Na'mi
Wako wapi Mashujaa
Simameni mhesabiwe
Mbona m'mezima taa
Simameni mhesabiwe
Motoni hatuchomeki
Mito kamwe haitatufagilia
Waite!! Waite!!
Kutoka kule Magharibi
Kasakazi Mashariki
Wote waje
Wasimame
Na ijulikane umenibariki
Dunia ione
Nisijigambe kwa uwezo wangu
Wacha wakuone
Mashihidi wamekodoa macho
Wanangoja nifeli
Mashahiri yasivuke boda
Waniseme nimefeli
Ukiwa na'mi
We ukiwa na mimi
Aaaah
Sipotoki
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Na'mi
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Aaaah
Sipotoki
Ukiwa na'mi
We Ukiwa na mimi
Na'mi