Siku za kukopa
Siku duniani ni za kukopa
Ipo siku tutarudi
Waje Msambweni, waje kuniona
Nitakiwa nimerudi
Washkazi zangu watahudhuria
Na masuti na mabinti
Mabingwa wa mziki watakuwepo
Oohh! Oohh
Noana wanangu, pale, wakilia
Mtetezezi wao sasa nimetangulia
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Mwantania!
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Maishani, mwantania!
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Ona, binadamu! Hawana Wema!
Hata ufanye mema!
Watakuacha njaa
Kisha waje wapige wali
Wakikuombea Peponi
Later shopping centre wapige tungi
Wakirudi
Penda wale wa kweli
Waso wa kweli watoke basi
Noana wanangu, pale, wakilia
Mtetezezi wao sasa nimetangulia
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Mwantania!
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Maishani, mwantania!
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Mwantania!
Machozi! Machozi Mama! Machozi!
Maishani, mwantania!
Jana Tumeiona
Leo Tutapambana
Kesho Tutajipanga
Akipenda Maulana