On the loose, is a long life wondering around
Yah yah yah, No no nooo
Oya Tito, twende zetu kule Kasarani,
Eti Mazoo amenivutia, Noble amewachwa tena
Cheki Abiih, Sina time ya kupoteza na huyu Mwamba
Mimi naenda chuo, itabidi nime burn yangu jamo
Ndio kwanza niigie zone, mahedi niza vii
Haina noma, tule kimoja
Alafu Kisha, twende hivyo
Anatungoja
I don't know know know oooh, kama itawezakana
I don't know know know oooh, kama itawezakana
Noble Afrika, kupata mchumba
Kama itawezakana, Mwamba Afrika kupata mmoja
I don't know know know oooh, kama itawezakana
Hacheni kunitisha na mapenzi, my my nigaas,
Mtoto amejitoa yashamwagika
Hii biz ya mapenzi naichukia haijalipa
Na wala sijawhii faidika
Huyo dem acha akwende, hata hatoshi hizi ligi
Kwenye simu yangu nina totos nyingi
Na usidhani ni mrembo, 'acha umpate bila wigi
Si'ezi rudi kwake nina mambo ya msingi
Kwanza namba yake, naifuta leo leo tuu
Cheki saa hizi nina side-chick amenilea tuu
Nguo alizo'acha nazichoma tena very soon
Na asije kwangu, n'tamroga of course
Sometimes inakuaga poa kujitoa na mapema
Si lazima, mapenzi silazima
Ona mapenzi yanamaliza
Ooh nah nah nah
Si lazima, Ooh yoh yoh yoh
Mapenzi si lazima, sio lazima
Si lazima, Ooh yah yah yah
Mapenzi si lazima, sio lazima
I don't know
I don't know know know oooh, kama itawezakana
I don't know know know oooh, kama itawezakana
Noble Afrika, kupata mchumba
Kama itawezakana, Mwamba Afrika kupata mmoja