Welcome ladies and gentlemen
My name is Abbih Nguma
Le Prince Dela Rhumba
Pole, Wakenya pole
Pole, twasema poleni
Pole, Wakenya pole
Pole, twasema poleni
Mzade alopoteza mtoto, Bazenga alopoteza kipato
Tumepoteza wengi tuu, Tujipe pole
Ila tunakazana, ng'ang'ana, sote
Tazama nakifanya kipya, kile kiloharibiwa
Zidi kunitegemea, sito kuangusha
Tazama nakifanya kipya, kile kiloharibiwa
Zidi kunitegemea, sito kuangusha
Tupone sote, pole pole
Wakenya pole, twasema poleni
Pole, Wakenya pole
Pole, twasema poleni
Uuuuuh ingekuwaje tungewalipiza mnavyo fanya
Mmmhh watoto wenyu wakose karo,
Na bibi zenyu wakose nguo
Na pia nyinyi mlale njaa
Na nyumba zikose paa
Ingekuwaje, aaaaaahhh
Ingekuwaje tungewalipiza mnavyo fanya
Mmmhh watoto wenyu wakose karo,
Na bibi zenyu wakose nguo
Na pia nyinyi mlale njaa
Na nyumba zikose paa
Ingekuwaje,eeeh
Tazama nakifanya kipya, kile kiloharibiwa
Zidi kunitegemea, sito kuangusha
Tazama nakifanya kipya, kile kiloharibiwa
Zidi kunitegemea, sito kuangusha
Tupone sote, pole pole
Wakenya pole, twasema poleni
Pole, Wakenya pole
Pole, twasema poleni
Tupone sote, pole pole
Wakenya pole, twasema poleni
Pole, Wakenya pole
Pole, twasema poleni