Mpenzi lately
Pingu zimekuwa tight
Sasa iweje?
Twende left?
Ama twende right?
Ama umepata wako
Wa kuweka mambo yako right
Uje tujenge ua
Mambo yetu yaje yawe tight
Mmmmh!
Wapendeza ukideka
Ukinigusa gusa unanilengeza
Nikuwache vipi
Wangu wa dhati
Nitafute penzi kwengine
Kwa nini?
Mahabani umenikamata
Pingu! Pingu!
Sijifungui
Majeraha yamenizidia
Nakosa hewa
Niende wapi?
Mahabani umenikamata
Pingu! Pingu!
Sijifungui
Majeraha yamenizidia
Nakosa hewa
Niende wapi?
Pingu! Pingu!
Zinachubua
Mpenzi nimekuzoea
Pingu! Pingu!
Zinasumbua
Ukiondoka n'tapata taabu
Pingu! Pingu!
Zinachubua
Mpenzi nimekuzoea
Pingu! Pingu!
Zinasumbua
Usiondoke n'tapata taabu
Aaayah!
I can't let you go
But do we have a solution?
No!
Yet, I can't live without you boy
Without Boy!
Ndani! Ndani!
Nimezama
My love!
Tuwachane iweje?
My love!
Wakati twaendana
My love!
Uuuuh!
My Love!
Uuuuh!
You make me feel
I love the way that you make me feel
If what I'm feeling
Is what you feel
Till infinity
Uuuuh!
You make me feel
I love the way that you make me feel
If what I'm feeling
Is what you feel
Till infinity
Mahabani umenikamata
Pingu! Pingu!
Sijifungui
Majeraha yamenizidia
Nakosa hewa
Niende wapi?
Pingu! Pingu!
Zinachubua
Mpenzi nimekuzoea
Pingu! Pingu!
Zinasumbua
Ukiondoka n'tapata taabu
Pingu! Pingu!
Zinachubua
Mpenzi nimekuzoea
Pingu! Pingu!
Zinasumbua
Usiondoke n'tapata taabu