Naskia kichwa mara tumbo mugongo ooh
Nguvu naisha sina hata muchongo
Ni lini siku itafika
Nitimize malengo
Nami Niwe tajika ahh
Nitulize ubongo ohh
Kwa wanadamu sina haki
Wangegawa riziki singestahili
Sa najaribu shinda dhiki
Mbele zako nimeghairi
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mana mwili damu nyama
Mi mnyonge we
Wanataka nikanyaga nipiganie
Kila vita nikishinda niseme Ni we
Iwe Leo na kesho nisiwe the same
Hata waninyonge wanikandamize nitasubiri
Iwe mvua Upepo kote kunyeshe nakusubiri
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Mpaka nikuone eiyee ooh oh